imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
ACT wakununuliwaKwani ndio waliomuwekea pingamizi? Si ACT au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACT wakununuliwaKwani ndio waliomuwekea pingamizi? Si ACT au?
Pingamizi aliwekewa na nani?Hiyo sheria inaengua wapinzani tu? Mkuu acha kutema utopolo.
Vita gani unazungumzia?!Vita inalazimishwa kwa udi na uvumba
Yeye alipowawekea pingamizi wenzake alinunuliwa na nani?ACT wakununuliwa
Tena ukishajua wewe ni chama cha upinzani ,umakini unatakiwa uwe mkubwa sana tena sana. CCM itakuwa kila jimbo kuna mtu anaelekeza jinsi ya kujaza kwa wale wenye ugumu kwenye kujaza form.
To be honest. Chadema hawako well organised.
Na.
Kwa hiyo wewe ndo uliye juu huko mbinguni unajua kitakachotokea?CCM wanapanga ushindi wa mezani lakini hawajui Aliye juu ya vyote anapanga nini juu yao.
Hakuna wa kuwanunua Act, hapo kuna ukweli juu ya matatizo ya tumbotumbo. Hata Chadema walimfukuza uanachama.ACT wakununuliwa
kama huelewi lugha ya kwenu utaelewa lugha ipi ?Vita gani unazungumzia?!
Hayo ni mazingaombwe yenu ya tamaa za kukalia ofiimsi wakati mumeshachokwaHakuna wa kuwanunua Act, hapo kuna ukweli juu ya matatizo ya tumbotumbo. Hata Chadema walimfukuza uanachama.
Njoo Busindi na Busulwangili uone mziki wake. Kila nyumba ni Ccm.Hayo ni mazingaombwe yenu ya tamaa za kukalia ofiimsi wakati mumeshachokwa
Umasikini umeshapewa khanga na kofiaNjoo Busindi na Busulwangili uone mziki wake. Kila nyumba ni Ccm.
Huku watu hawana njaa. Ni mwendo wa kuhila tu. Na kumpigia kura mzalendo namba 1Umasikini umeshapewa khanga na kofia