KERO Ubungo riverside hatuna maji kwa siku 14 sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Hakuna maji Ubungo riverside maeneo yote kuanzia daraja la Kijazi mkono wa kushoto .. no mambo ya AIBU sana Hakuna taarifa yoyote watu tunaishi kama tuko dunia ya miaka ya 40tatizo ninini..

Bili za maji wasomaji hawazingatii wanapita na kubambika mamba ambazo sio sahihi. DAWASA, DAWASA. Wizara ya Maji

Soma Pia: Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
 
Ni aibu.... wakati wenzetu wako busy kutafuta maji kwenye sayari za mbali, sisi bado hata kujihudumia maji wenyewe hatuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…