Hamna kosa utakuwa umefanya zaidi ya kuongezea mikosi uliyo nayo, baade uanze kulilia watu huna ajira, kumbe ni mikosi unayookota kwenye mashimo yaliyojaa laanaKwani nikiwa mteja na nikanunua hizo K nitakuwa nimefanya kosa gani la jinai na la kikatiba?
kwa mujibu wa sheria za nchi uzinzi maana yake ni nn? sheria ya nchi inaruhusu kufanya ngono na mwanamke asiye mke wako alimradi mmelidhiana sasa utasemaje mtu anajiuza?Wazinzi wote na washerati wote lazima wawasuppport wazinzi wenzao humu!! Hii nchi ngumu sana! Mafisadi na wala rushwa wanateteana na wanzinzi nao wanateteana humu sijui tukimbilie wapi!
Hv mwanasheria wa Hali ya mashaur au dpp wa wilaya hamsaidiiHahahaha Rais alishawambia wasifanye mambo kinyume na sheria wakafikiri serikali itawatetea!
Ni Mtoto kiongozi mpuuzi ambaye sijawahi kumshuhudia toka nchi hii ipate uhuru.Huyu anakiangamiza chama cha mapinduzi mchana kweupeee.Mkuu wa wilaya mjinga kabisa kuwahi kutokea,mahakamani kuna kesi za msingi zinahitaji kusikilizwa,wewe unakamata watu kwa jambo la kijinga ambalo linapelekea shida kwenye mahakama zetu.
Tuna matatizo mengi sana tofauti na huo ukahaba anaopambana nao, wacha wamuadabishe,huko aliko najua hana hamu.
Bado najiuliza wanasheria wa halmashauri zetu wana kazi gani juu ya kuwaongoza hawa watu kipi wafanye na kipi wasifanye?, au ni ubabe wa wateule kuwa wao ni kila kitu na mwisho wa siku wanaangukia pua?.
Mimi na ualimu wangu huu wa grade A najua kabisa hapa nikiingia kichwa kichwa lazima mambo yanigeukie,vipi kwa mkuu wawilaya ambaye ana wataalamu wa kila aina wakuweza kumshauri?
⚖️Justice for Asimwe & fellow victims#Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X
Hii June ina mambo Sana 😂
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya biashara ya kuuza miili yao (dada poa) waliokamatwa na Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam Hassan Bomboko, kupitia mawakili wao wakiongozwa na Wakili Peter Michael Madeleka, wametuma barua kwa Bomboko wakidai fidia ya Tsh. bilioni 36.
Kupitia barua hiyo wakili Madeleka ameeleza kuwa madai ya fidia hiyo yanakuja kufuatia udhalilishaji waliofanyiwa wateja wao sambamba na kuwekwa rumande pasipo sababu za msingi, ambapo amesema wateja wao wameagiza kulipwa fidia hiyo ndani ya siku 14.
Imeelezwa kuwa kuanzia Juni 14 na 15 mwaka huu, Mkuu wa wilaya huyo alitumia madaraka yake vibaya kwa kuwaita watuhumiwa hao (dada poa) na kudai kuwa wamekuwa wakijihusisha na biashara ya ukahaba kwenye eneo la Tip Top -Manzese, ambapo aliongoza oparesheni ya kuwakamata wadaiwa hao kutoka kwenye vyumba vyao na kuwapeleka kituo cha Polisi Mburahati ambako wamesota huko kwa takribani siku 5.
Barua hiyo imeendelea kufafanua kuwa ndani ya kipindi hicho Bomboko aliendelea kuagiza Jeshi la Polisi kutotoa dhamana kwa watuhumiwa hao jambo ambalo ni kinyume na katiba na halikubaliki kwenye taswira ya sheria na ulinzi wa ‘Haki za Binadamu’, sambamba na hilo kufuatia maelekezo yake Juni 18 na 19 mwaka huu wateja wao walipelekwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Sokoine Drive, Dar es Salaam lakini hakuna mashtaka yoyote yaliyosomwa dhidi yao.
Amesema malipo ya fidia wanayodai inatokana na hasara ya kiuchumi waliyosababishiwa, madhara yasiyo ya kiuchumi, maumivu na mateso, msongo wa mawazo, maumivu ya kihisia, kupoteza furaha ya kuishi, kushuka kwa sifa na hadhi nzuri kwa jamii waliyoitengeneza kwa muda mrefu, na kwamba malipo ya fidia hiyo yafanyike papo hapo na endapo itakuwa tofauti hatua stahiki za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Pia soma
- Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
- Tetesi: - Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!
- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
Mkuu wa wilaya mjinga kabisa kuwahi kutokea,mahakamani kuna kesi za msingi zinahitaji kusikilizwa,wewe unakamata watu kwa jambo la kijinga ambalo linapelekea shida kwenye mahakama zetu.
Tuna matatizo mengi sana tofauti na huo ukahaba anaopambana nao, wacha wamuadabishe,huko aliko najua hana hamu.
Bado najiuliza wanasheria wa halmashauri zetu wana kazi gani juu ya kuwaongoza hawa watu kipi wafanye na kipi wasifanye?, au ni ubabe wa wateule kuwa wao ni kila kitu na mwisho wa siku wanaangukia pua?.
Mimi na ualimu wangu huu wa grade A najua kabisa hapa nikiingia kichwa kichwa lazima mambo yanigeukie,vipi kwa mkuu wawilaya ambaye ana wataalamu wa kila aina wakuweza kumshauri?
Kosa lake ni kukamata watu walikuwa lodge
Njia aliyotumia siyo sawa lakini lengo lake lilikuwa ni zuri
⚖️Justice for Asimwe & fellow victims#Tatizo liko wapi? Tambua ushahidi wa hili jambo ni mgumu sana,kuna loop holes nyingi sana za kumnasua mtuhumiwa,tushugulike na mambo muhimu,mfano kwa Dar huyo bwana apambane na vibaka kama ana morali ya kazi.
Kwa taarifa yako hachomoi,tanzania ya sasa sio ile ya mwaka 47
Hatuna sheria kukataza kujiuza.
Hata kama ingekuepo (kuna nchi ipo) ugumu huja kwenye kuthibitisha kweli huyu mtu anajiuza.
Mavazi ambayo mdada anavaa kutembea barabarani ni hayo hayo mdada mwingine anavaa kujiuza.
So kwa Tz hua anakamatwa na kesi huishia wilayani kwa kulipa faini 50K kwakua hatuna ushahidi zaidi ya kumkuta kasimama na hatuna sheria inayokataza.
Nahisi kwa sasa Tz tunapromote sana 50/ 50 DC ana mtihani hapa. But anashtakiwa yeye au serikali?
1. Hili linasikitisha sana: utamwitaje mtu dada poa? Je unatumia vigezo gani kuwabatiza watu sifa hii? Je hili linaongeza thamani kiutendaji na kisiasa? Je bila kuangalia chimbuko la tatizo lenyewe inawezekana kupatikana suluhisho endelevu la jambo hili? Tuna uchafu mwingi tu na maovu mengine ambayo yanadidimisha maendeleo ya nchi je kwa nini tusianze na haya? Could this be driven by populism? Tatizo lilipo since biblical era walishindwa (rejea Sodom and Gomorrah) walishindwa kulimaliza? Tunalimalizaje? Hii ni changamoto ya kijamii tuitazame kwa mawani hayo ili kuweza kuona vizuri na kujua namna ya kulikabili tatizo. Tatizo hili ni kubwa sana hasa katika zama hizi za kijitali! Ni vita ngumu kupigana zaidi ya ile ya nuclear!.Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X
Hii June ina mambo Sana 😂
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya biashara ya kuuza miili yao (dada poa) waliokamatwa na Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam Hassan Bomboko, kupitia mawakili wao wakiongozwa na Wakili Peter Michael Madeleka, wametuma barua kwa Bomboko wakidai fidia ya Tsh. bilioni 36.
Kupitia barua hiyo wakili Madeleka ameeleza kuwa madai ya fidia hiyo yanakuja kufuatia udhalilishaji waliofanyiwa wateja wao sambamba na kuwekwa rumande pasipo sababu za msingi, ambapo amesema wateja wao wameagiza kulipwa fidia hiyo ndani ya siku 14.
Imeelezwa kuwa kuanzia Juni 14 na 15 mwaka huu, Mkuu wa wilaya huyo alitumia madaraka yake vibaya kwa kuwaita watuhumiwa hao (dada poa) na kudai kuwa wamekuwa wakijihusisha na biashara ya ukahaba kwenye eneo la Tip Top -Manzese, ambapo aliongoza oparesheni ya kuwakamata wadaiwa hao kutoka kwenye vyumba vyao na kuwapeleka kituo cha Polisi Mburahati ambako wamesota huko kwa takribani siku 5.
Barua hiyo imeendelea kufafanua kuwa ndani ya kipindi hicho Bomboko aliendelea kuagiza Jeshi la Polisi kutotoa dhamana kwa watuhumiwa hao jambo ambalo ni kinyume na katiba na halikubaliki kwenye taswira ya sheria na ulinzi wa ‘Haki za Binadamu’, sambamba na hilo kufuatia maelekezo yake Juni 18 na 19 mwaka huu wateja wao walipelekwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Sokoine Drive, Dar es Salaam lakini hakuna mashtaka yoyote yaliyosomwa dhidi yao.
Amesema malipo ya fidia wanayodai inatokana na hasara ya kiuchumi waliyosababishiwa, madhara yasiyo ya kiuchumi, maumivu na mateso, msongo wa mawazo, maumivu ya kihisia, kupoteza furaha ya kuishi, kushuka kwa sifa na hadhi nzuri kwa jamii waliyoitengeneza kwa muda mrefu, na kwamba malipo ya fidia hiyo yafanyike papo hapo na endapo itakuwa tofauti hatua stahiki za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Pia soma
- Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
- Tetesi: - Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!
- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
Could be a possible and long lasting solution to commercial sex work but in our context it will raise a lot of moral questions! Hili halihitaji kamatakamata bali mjadala wa wazi ili kupata suluhisho ya kudumu!DC awape utaratibu waanze kulipa Kodi tu....
Dar hakuna nyapu ya bure, hiki ni chanzo cha mapato
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeehMashoga hamtakamatwa, nyie ni kuwakata masikio tu kama nilivyoona video ya yule Sijui Mau nani wa Zanzibar. Nyie tunawakata masikio tu.
Kwani uongo?ni ya mama yako
Safi sana wakifanya hivi maana sasa wataanza kutumia akili zao, waache haya ya kuambiwa. Katoka ukerewe,hakujua ya mjini.Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X
Hii June ina mambo Sana 😂
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya biashara ya kuuza miili yao (dada poa) waliokamatwa na Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam Hassan Bomboko, kupitia mawakili wao wakiongozwa na Wakili Peter Michael Madeleka, wametuma barua kwa Bomboko wakidai fidia ya Tsh. bilioni 36.
Kupitia barua hiyo wakili Madeleka ameeleza kuwa madai ya fidia hiyo yanakuja kufuatia udhalilishaji waliofanyiwa wateja wao sambamba na kuwekwa rumande pasipo sababu za msingi, ambapo amesema wateja wao wameagiza kulipwa fidia hiyo ndani ya siku 14.
Imeelezwa kuwa kuanzia Juni 14 na 15 mwaka huu, Mkuu wa wilaya huyo alitumia madaraka yake vibaya kwa kuwaita watuhumiwa hao (dada poa) na kudai kuwa wamekuwa wakijihusisha na biashara ya ukahaba kwenye eneo la Tip Top -Manzese, ambapo aliongoza oparesheni ya kuwakamata wadaiwa hao kutoka kwenye vyumba vyao na kuwapeleka kituo cha Polisi Mburahati ambako wamesota huko kwa takribani siku 5.
Barua hiyo imeendelea kufafanua kuwa ndani ya kipindi hicho Bomboko aliendelea kuagiza Jeshi la Polisi kutotoa dhamana kwa watuhumiwa hao jambo ambalo ni kinyume na katiba na halikubaliki kwenye taswira ya sheria na ulinzi wa ‘Haki za Binadamu’, sambamba na hilo kufuatia maelekezo yake Juni 18 na 19 mwaka huu wateja wao walipelekwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Sokoine Drive, Dar es Salaam lakini hakuna mashtaka yoyote yaliyosomwa dhidi yao.
Amesema malipo ya fidia wanayodai inatokana na hasara ya kiuchumi waliyosababishiwa, madhara yasiyo ya kiuchumi, maumivu na mateso, msongo wa mawazo, maumivu ya kihisia, kupoteza furaha ya kuishi, kushuka kwa sifa na hadhi nzuri kwa jamii waliyoitengeneza kwa muda mrefu, na kwamba malipo ya fidia hiyo yafanyike papo hapo na endapo itakuwa tofauti hatua stahiki za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Pia soma
- Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
- Tetesi: - Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!
- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
Sawa⚖️Justice for Asimwe & fellow victims#