Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Napendaga sana taarifa zako, ni fupi, za kichokozi na ni fikirishi!! Utakuwa umesoma shule nzuri!!

Kuna takataka humu ikiandika andiko lake naishiaga kusoma tu comments kuona linavyotukanwa.

Wengine saa nyingine hawakuelewagi, kumbe unachokoza tu
Kumbe na wewe umeona ,huyo jamaa ni mwandishi mzuri sana ,akiandika nikama anazungumza na hadhira moja kwa moja .
 
Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni.

Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi Digital imeiona, inalenga kuwalipa watuhumiwa hao 36 wanaodai wamedhalilishwa kwa kuwaita ‘Dada Poa’ na kuwaweka rumande kwa zaidi ya siku tano kinyume na sheria.

Notisi hiyo imeandikwa na wakili wao kutoka tasisi ya Stalwart, Peter Madeleka ambaye amethibitisha kwamba tayari wameshaiwasilisha kwa kiongozi huyo.

Hata hivyo, akizungumza na Mwananchi, DC Bomboko amesema hadi saa 5:48 asubuhi leo alikuwa hajapokea notisi hiyo inayoelezwa amepelekewa.“Sijapokea hiyo notisi. Muulizeni vizuri.” Alipotafutwa tena jioni hakupatikana.

Operesheni hiyo iliyoendeshwa na mkuu huyo wa wilaya, hivi karibuni, iliwakamata ‘makahaba’ hao katika maeneo ya Ubungo, River Side na Sinza, bado inavuta hisia za wengi mitandaoni wakieleza inaingilia faragha za watu na inakiuka haki za binadamu.

Chanzo: mwananchi_official

Na nimesikia kuna Wawili hapo wamesema Waliombwa Mbunye wakakataa hivyo Hasira kali zaidi Kuelekezwa Kwao.
 
Ni jambo la mda
FB_IMG_1718908492977.jpg
 
Bongo hii ni ngumu sana kuishtaki serikali ukashinda kesi, serikali ipo juu ya kila kitu, nawashauri waache tu wasipoteza muda na fedha japo wanaweza kuwa kwenye haki, hii sio USA.
 
Ni mtu kichaa nasema kichaa kwel kwel ataacha mambo ya muhimu(kero za wananchi ambazo zipo chungu nzima etc) na kuang'aika na (Prostitution) biashara ambayo ilikuwepo kabla ya Yesu BC na baada AD! Biashara ambayo imefanywa na watu wengi na kwa muda mrefu kuliko zote.
 
Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni.

Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi Digital imeiona, inalenga kuwalipa watuhumiwa hao 36 wanaodai wamedhalilishwa kwa kuwaita ‘Dada Poa’ na kuwaweka rumande kwa zaidi ya siku tano kinyume na sheria.

Notisi hiyo imeandikwa na wakili wao kutoka tasisi ya Stalwart, Peter Madeleka ambaye amethibitisha kwamba tayari wameshaiwasilisha kwa kiongozi huyo.

Hata hivyo, akizungumza na Mwananchi, DC Bomboko amesema hadi saa 5:48 asubuhi leo alikuwa hajapokea notisi hiyo inayoelezwa amepelekewa.“Sijapokea hiyo notisi. Muulizeni vizuri.” Alipotafutwa tena jioni hakupatikana.

Operesheni hiyo iliyoendeshwa na mkuu huyo wa wilaya, hivi karibuni, iliwakamata ‘makahaba’ hao katika maeneo ya Ubungo, River Side na Sinza, bado inavuta hisia za wengi mitandaoni wakieleza inaingilia faragha za watu na inakiuka haki za binadamu.

Chanzo: mwananchi_official

Na nimesikia kuna Wawili hapo wamesema Waliombwa Mbunye wakakataa hivyo Hasira kali zaidi Kuelekezwa Kwao.
kwa kuweka record sawa tu,
hivi huyo wakili mkurupukaji, mwanasiasa na mwana harakati uchwara aliwahi kushinda kesi gani 🐒

for ur informations,
hili nalo litapita bila tashwishwi yoyote kisheria...

nadhani libaki kama kiki tu kamazilivyo kiki zingine, ujulikane tu halafu bas yaishe 🐒
 
Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni.

Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi Digital imeiona, inalenga kuwalipa watuhumiwa hao 36 wanaodai wamedhalilishwa kwa kuwaita ‘Dada Poa’ na kuwaweka rumande kwa zaidi ya siku tano kinyume na sheria.

Notisi hiyo imeandikwa na wakili wao kutoka tasisi ya Stalwart, Peter Madeleka ambaye amethibitisha kwamba tayari wameshaiwasilisha kwa kiongozi huyo.

Hata hivyo, akizungumza na Mwananchi, DC Bomboko amesema hadi saa 5:48 asubuhi leo alikuwa hajapokea notisi hiyo inayoelezwa amepelekewa.“Sijapokea hiyo notisi. Muulizeni vizuri.” Alipotafutwa tena jioni hakupatikana.

Operesheni hiyo iliyoendeshwa na mkuu huyo wa wilaya, hivi karibuni, iliwakamata ‘makahaba’ hao katika maeneo ya Ubungo, River Side na Sinza, bado inavuta hisia za wengi mitandaoni wakieleza inaingilia faragha za watu na inakiuka haki za binadamu.

Chanzo: mwananchi_official

Na nimesikia kuna Wawili hapo wamesema Waliombwa Mbunye wakakataa hivyo Hasira kali zaidi Kuelekezwa Kwao.
Kesi au hizo fidia za kulipwa si rahisi kufanyika.

Ila cha kujifunza ni kwamba, huwezi kushindana na malaya kirahisi rahisi ukashinda.

Hao watu walishauza utu wao zamani sana, kulala kituo cha polisi ni jambo la kawaida sana kwao.

Kudhulumiwa malipo yao, kupigwa mtungo ,kuleweshwa na kuibiwa vitu ni jambo la kawaida kwao kabla hawajaiva kwenye hiyo sekta.

Sasa usiombe ujae kwenye mfumo wao , hawa watu ni hatari mno.

Na ni mabingwa wa kuigiza sana mpaka wafanikishe kusudio lao.
 
Hassan bomboko yupo sahihi, kama ikibainika hawajishughulishi na ukahaba basi wana haki ya kuchukua hatua, ilaa kama wanajihusisha basi wala wasijisumbue kumshitaki dc huyo, na mnavyozitamka pesa hizo b36 utadhani ni rahisi sana kuzipata

Na wale mnaotetea biashara hii, jitafakarini sana, sio kila kitu kuikosoa serikali
.
 
Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni.

Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi Digital imeiona, inalenga kuwalipa watuhumiwa hao 36 wanaodai wamedhalilishwa kwa kuwaita ‘Dada Poa’ na kuwaweka rumande kwa zaidi ya siku tano kinyume na sheria.

Notisi hiyo imeandikwa na wakili wao kutoka tasisi ya Stalwart, Peter Madeleka ambaye amethibitisha kwamba tayari wameshaiwasilisha kwa kiongozi huyo.

Hata hivyo, akizungumza na Mwananchi, DC Bomboko amesema hadi saa 5:48 asubuhi leo alikuwa hajapokea notisi hiyo inayoelezwa amepelekewa.“Sijapokea hiyo notisi. Muulizeni vizuri.” Alipotafutwa tena jioni hakupatikana.

Operesheni hiyo iliyoendeshwa na mkuu huyo wa wilaya, hivi karibuni, iliwakamata ‘makahaba’ hao katika maeneo ya Ubungo, River Side na Sinza, bado inavuta hisia za wengi mitandaoni wakieleza inaingilia faragha za watu na inakiuka haki za binadamu.

Chanzo: mwananchi_official

Na nimesikia kuna Wawili hapo wamesema Waliombwa Mbunye wakakataa hivyo Hasira kali zaidi Kuelekezwa Kwao.
Kwan Wakili ndo mahakama???
 
Mkuu wa wilaya mjinga kabisa kuwahi kutokea,mahakamani kuna kesi za msingi zinahitaji kusikilizwa,wewe unakamata watu kwa jambo la kijinga ambalo linapelekea shida kwenye mahakama zetu.

Tuna matatizo mengi sana tofauti na huo ukahaba anaopambana nao, wacha wamuadabishe,huko aliko najua hana hamu.

Bado najiuliza wanasheria wa halmashauri zetu wana kazi gani juu ya kuwaongoza hawa watu kipi wafanye na kipi wasifanye?, au ni ubabe wa wateule kuwa wao ni kila kitu na mwisho wa siku wanaangukia pua?.

Mimi na ualimu wangu huu wa grade A najua kabisa hapa nikiingia kichwa kichwa lazima mambo yanigeukie,vipi kwa mkuu wawilaya ambaye ana wataalamu wa kila aina wakuweza kumshauri?
Tunamshukuru mama ,nani kama mama, chawa wameanza kujitambua kwa mbali sanaa
 
Mimi nilipomuona mke wa Madeleka, nikajua hiyo familia ya Madeleka ina matatizo makubwa. Mke na mume wote mitambo, na yote imefukuzwa kazi serikalini.

Kama unq kesi yako serious usimpe Madeleka, vinginevyo uwe na Hakimu au Jaji ambaye ni robot. Watoa maamuzi ni binadamu, anaweza kuwakoroga kwa ukichaa wake, wakabonyeza ki-uzi chembamba ukajikuta unakosa haki au unaipata kwa kuteseka sana.

Be wise when choosing an advocate. The best advocate is the one who does not wish to lose the court
Mh Madeleka lingine liko huku lichawa linadhalilisha njoo ,uliunganishe kwenye kesi
 
Kama ni kufukuzwa , inatakiwa uyu DC plus Chalamila wafukuzwe wote , alichofanya Dc kipo na baraka za chalamila for 100%,
 
Back
Top Bottom