Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwani salamu imeainishwa wapi?Hivi haya maadili ya kitanzania yameainishwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani salamu imeainishwa wapi?Hivi haya maadili ya kitanzania yameainishwa wapi?
Uwezo wake wa akili umeishia paleHiv kwanini aliishia logde tu kwanini hakwenda pia hotelin na online maana kote hizo Mambo zipo.
Kumbe na wewe umeona ,huyo jamaa ni mwandishi mzuri sana ,akiandika nikama anazungumza na hadhira moja kwa moja .Napendaga sana taarifa zako, ni fupi, za kichokozi na ni fikirishi!! Utakuwa umesoma shule nzuri!!
Kuna takataka humu ikiandika andiko lake naishiaga kusoma tu comments kuona linavyotukanwa.
Wengine saa nyingine hawakuelewagi, kumbe unachokoza tu
Salamu inahusiana vipi na nilichoandika?Mbona sijakusalimiaKwani salamu imeainishwa wapi?
kwa kuweka record sawa tu,Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni.
Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi Digital imeiona, inalenga kuwalipa watuhumiwa hao 36 wanaodai wamedhalilishwa kwa kuwaita ‘Dada Poa’ na kuwaweka rumande kwa zaidi ya siku tano kinyume na sheria.
Notisi hiyo imeandikwa na wakili wao kutoka tasisi ya Stalwart, Peter Madeleka ambaye amethibitisha kwamba tayari wameshaiwasilisha kwa kiongozi huyo.
Hata hivyo, akizungumza na Mwananchi, DC Bomboko amesema hadi saa 5:48 asubuhi leo alikuwa hajapokea notisi hiyo inayoelezwa amepelekewa.“Sijapokea hiyo notisi. Muulizeni vizuri.” Alipotafutwa tena jioni hakupatikana.
Operesheni hiyo iliyoendeshwa na mkuu huyo wa wilaya, hivi karibuni, iliwakamata ‘makahaba’ hao katika maeneo ya Ubungo, River Side na Sinza, bado inavuta hisia za wengi mitandaoni wakieleza inaingilia faragha za watu na inakiuka haki za binadamu.
Chanzo: mwananchi_official
Na nimesikia kuna Wawili hapo wamesema Waliombwa Mbunye wakakataa hivyo Hasira kali zaidi Kuelekezwa Kwao.
Kesi au hizo fidia za kulipwa si rahisi kufanyika.Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni.
Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi Digital imeiona, inalenga kuwalipa watuhumiwa hao 36 wanaodai wamedhalilishwa kwa kuwaita ‘Dada Poa’ na kuwaweka rumande kwa zaidi ya siku tano kinyume na sheria.
Notisi hiyo imeandikwa na wakili wao kutoka tasisi ya Stalwart, Peter Madeleka ambaye amethibitisha kwamba tayari wameshaiwasilisha kwa kiongozi huyo.
Hata hivyo, akizungumza na Mwananchi, DC Bomboko amesema hadi saa 5:48 asubuhi leo alikuwa hajapokea notisi hiyo inayoelezwa amepelekewa.“Sijapokea hiyo notisi. Muulizeni vizuri.” Alipotafutwa tena jioni hakupatikana.
Operesheni hiyo iliyoendeshwa na mkuu huyo wa wilaya, hivi karibuni, iliwakamata ‘makahaba’ hao katika maeneo ya Ubungo, River Side na Sinza, bado inavuta hisia za wengi mitandaoni wakieleza inaingilia faragha za watu na inakiuka haki za binadamu.
Chanzo: mwananchi_official
Na nimesikia kuna Wawili hapo wamesema Waliombwa Mbunye wakakataa hivyo Hasira kali zaidi Kuelekezwa Kwao.
Well said.Bongo hii ni ngumu sana kuishtaki serikali ukashinda kesi, serikali ipo juu ya kila kitu, nawashauri waache tu wasipoteza muda na fedha japo wanaweza kuwa kwenye haki, hii sio USA.
Kwan Wakili ndo mahakama???Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni.
Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi Digital imeiona, inalenga kuwalipa watuhumiwa hao 36 wanaodai wamedhalilishwa kwa kuwaita ‘Dada Poa’ na kuwaweka rumande kwa zaidi ya siku tano kinyume na sheria.
Notisi hiyo imeandikwa na wakili wao kutoka tasisi ya Stalwart, Peter Madeleka ambaye amethibitisha kwamba tayari wameshaiwasilisha kwa kiongozi huyo.
Hata hivyo, akizungumza na Mwananchi, DC Bomboko amesema hadi saa 5:48 asubuhi leo alikuwa hajapokea notisi hiyo inayoelezwa amepelekewa.“Sijapokea hiyo notisi. Muulizeni vizuri.” Alipotafutwa tena jioni hakupatikana.
Operesheni hiyo iliyoendeshwa na mkuu huyo wa wilaya, hivi karibuni, iliwakamata ‘makahaba’ hao katika maeneo ya Ubungo, River Side na Sinza, bado inavuta hisia za wengi mitandaoni wakieleza inaingilia faragha za watu na inakiuka haki za binadamu.
Chanzo: mwananchi_official
Na nimesikia kuna Wawili hapo wamesema Waliombwa Mbunye wakakataa hivyo Hasira kali zaidi Kuelekezwa Kwao.
Tunamshukuru mama ,nani kama mama, chawa wameanza kujitambua kwa mbali sanaaMkuu wa wilaya mjinga kabisa kuwahi kutokea,mahakamani kuna kesi za msingi zinahitaji kusikilizwa,wewe unakamata watu kwa jambo la kijinga ambalo linapelekea shida kwenye mahakama zetu.
Tuna matatizo mengi sana tofauti na huo ukahaba anaopambana nao, wacha wamuadabishe,huko aliko najua hana hamu.
Bado najiuliza wanasheria wa halmashauri zetu wana kazi gani juu ya kuwaongoza hawa watu kipi wafanye na kipi wasifanye?, au ni ubabe wa wateule kuwa wao ni kila kitu na mwisho wa siku wanaangukia pua?.
Mimi na ualimu wangu huu wa grade A najua kabisa hapa nikiingia kichwa kichwa lazima mambo yanigeukie,vipi kwa mkuu wawilaya ambaye ana wataalamu wa kila aina wakuweza kumshauri?
Mh Madeleka lingine liko huku lichawa linadhalilisha njoo ,uliunganishe kwenye kesiMimi nilipomuona mke wa Madeleka, nikajua hiyo familia ya Madeleka ina matatizo makubwa. Mke na mume wote mitambo, na yote imefukuzwa kazi serikalini.
Kama unq kesi yako serious usimpe Madeleka, vinginevyo uwe na Hakimu au Jaji ambaye ni robot. Watoa maamuzi ni binadamu, anaweza kuwakoroga kwa ukichaa wake, wakabonyeza ki-uzi chembamba ukajikuta unakosa haki au unaipata kwa kuteseka sana.
Be wise when choosing an advocate. The best advocate is the one who does not wish to lose the court
Mdogo sana huyo bwege, wakali wa hizi kazi za Mahakamani hawanaga kelele wala kuita vyombo vya habariMh Madeleka lingine liko huku lichawa linadhalilisha njoo ,uliunganishe kwenye kesi