Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Inaweza ikawa inawahusu, lakini hawawezi kutokomeza biashara ya kunjunjana.
Serikali inachotakiwa kufanya ni kuimarisha uchumi, ajira ziongezeke na mambo kama hayo ili kuondoa sababu ya msingi ya kujiuza ambayo ni kujipatia kipato.
Walipwe Billion 36 waache kujiuza
 
Ubungo kuna maeneo machafu sana,
Hili lilipaswa kuwa kwenye orodha ya mambo ya msingi yakufanyiwa kazi na mkuu wa wilaya lakini yeye anahangaika na akina Maimuna kiberenge
 
Kitaalamu inaitwa class action suit. 36 of them, ila kesi kama hizi wakili ndo huwa anawaita wahusika anapiga kitu inaitwa PRO BORNO, kesi ya hivo akishinda wakili anatoka na mkwanja kinoma. Na ni ile gender inayosikilizwa sana mahakaman, DC kuchomoa hii ni ngumu sana
 
Baba wa taifa HAYATI J.k. Nyerere aliwai kulitolea ufafanuzi hili swala miaka ya nyuma huyo Dc sijui hajisomei hata humu JF Inashangaza Sana na kustaabisha kwa wateule wa RAISI baadhi wanakua too naive...
Mtu unamtoa huko UVCCM amezoea kupiga mizinga ghafla anakuwa DC, lazima achanganyikiwe na bahati mbaya nchi hii hata vetting haipo
 
Kwanza wahanga wale walikuwa maeneo yao ya Makazi na kuvamiwa na kudhalilishwa hii haijakaa SAWA!! Kisa mtu mmoja ajipatie sifa!! Hii haikubaliki mbele ya Taifa lenye utawala Bora na sheria
Shida ya kutanguliza makada makopo kwenye teuzi. Tuna mijitu mijinga sana kwenye hiki.kisiwa cha amani.
 
Hakuna lengo hapo zaidi ya kutafuta sifa za kuteuliwa. Kuna shida ngapi za msingi za kushughulika nazo? Kwanza ni sheria ipi inazuia mtu kutumia viungo vyake kupata kipato? Nisaidie kifungu ndugu yangu.
Hebu nenda kajiuze utatuliwe marinda halafu ujitetee kuwa unatumia kiungo chako kujiingizia kipato
 
ni sawa kuuza nyapu ?
Sasa hata akiiuza si yake?

Hakuna sheria ya kidunia inayomzuia mwanamke yeyote kuuza uchi wala mkundu wake. Sheria inayokataza haya ni ya mbinguni (kiroho) tu. Kwa hiyo, wafanyao haya watahukumiwa hukumu yao ya haki na Mungu wao..!

Sheria za nchi zinazuia mtu kutembea uchi hadharani, kufanya ngono hadharani, kuweka hadharani kuwa wewe ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja (ushoga & usagaji)

Lakini kama haya yote yanafanyika huko sirini kwa mapatano na kwa hiari yao wenyewe hao wanaoingiliana na ni kwenye nyumba zao, hakuna mtu wa kuwaingilia. Na ukiingilia faragha ya mtu kama hiyo, umevunja sheria ya nchi na itakula kwako.!

After all hawa viongozi wetu ma DC, RCs, mawaziri, wabunge na viongozi wengine wote wanaongozwa na unafiki tu kushughulikia haya mambo kwa sababu hata wao ni washiriki yaani wanunua uchi wa malaya, wafiraji, wafwiraji, wasagaji na mashoga wa kutupwa..

Mfano dhahiri ni aliyekuwa RC wa Simiyu. Jamaa kumbe ni mfiraji aliyekubuhu halafu huyuhuyu eti umuone akisaka madada poa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…