Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Sasa hata akiiuza si yake?
Hakuna sheria ya kidunia inayomzuia mwanamke yeyote kuuza uchi wala mkundu wake. Sheria inayokataza haya ni ya mbinguni (kiroho) tu. Kwa hiyo, wafanyao haya watahukumiwa hukumu yao ya haki na Mungu wao...
Hakuna anayeunga mkono hilo suala kwanza ufahamu hilo.ni sawa kuuza nyapu ?
Hapo sasa !Mkuu wa wilaya mjinga kabisa kuwahi kutokea,mahakamani kuna kesi za msingi zinahitaji kusikilizwa,wewe unakamata watu kwa jambo la kijinga ambalo linapelekea shida kwenye mahakama zetu...
Yako?ni sawa kuuza nyapu ?
Kuuza mtaro ni kosa ila kuuza nyapu sio kosa kulingana na sheria za Tanzaniakwa mtazamo wako
vijana mashoga, wanaouza mitaro yao tuwaache kwasababu ni ya kwao
Haupo sahihi ndugu, namjua huyo peter madeleka kitambo sana.Muda mchache kuanza kusoma hayo, wewe chukua majibu yangu, ndio sahihi
atajutaWanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X
Hii June ina mambo Sana π
Pia soma
- Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba