Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Sasa hata akiiuza si yake?

Hakuna sheria ya kidunia inayomzuia mwanamke yeyote kuuza uchi wala mkundu wake. Sheria inayokataza haya ni ya mbinguni (kiroho) tu. Kwa hiyo, wafanyao haya watahukumiwa hukumu yao ya haki na Mungu wao...

Hahaa
 
ni sawa kuuza nyapu ?
Hakuna anayeunga mkono hilo suala kwanza ufahamu hilo.

Lakini serikali au wenye mamlaka wanadeal vipi na hili suala?

Changamoto iko hapo huyo mkuu wa wilaya amejifunza nini kupitia wenzie waliowahi kufanya misheni kama hiyo
Kwasababu lazima uangalie waliokupita walifanya nini na changamoto ilikuwa nini na wewe ufanyeje ili ufanikiwe kwenye misheni yako.

Huwezi kufanya jambo walilofeli wenzio kwa jinsi ileile na utarajie majibu tofauti huyu aliutaka umaarufu

Kwanini hajashughulika zaidi na mmiliki wa hilo eneo

Kwanini asingedeal na kuwazuia hawa watu wasionekane bublic huko mitaani ambapo wakati mwingine tunapita na watu tunaowasheshimu au watoto wetu wanashuhudia mambo yasiyoeleweka
 
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo apewa notisi na kudaiwa Bilion 36 kwa kuwaita "Madada poa" na kuwashikiria wadada bila dhamana kwa siku 5 huku wakinyimwa haki zao za kikatiba.

Wakili Machachali Peter Madereka ameamwandikia mkuu wa wilaya huyo notisi akimpa siku 14 kulipa fidia hiyo la sivyo ataburuzwa mahakamani.

Hii ni kutoka kunako X katika page official ya Wakili Peter Madeleka.

20240620_160644.jpg
Screenshot_20240620-160715.jpg
 
Malaya na wenyewe wanaomba fidia 🤔 ya nini kwanza kwamba huyo mshamba amewatia hasara ya kiasi hicho 🤔 hebu waache upumbavu wao 😆😆
 
Najiuliza hiyo sheria ya kumuweka mtu ndani ipo kwenye katiba? Watamwambia hakimu walikuwa kwenye faragha, kuna mda maalum wa faragha? Labda tu mwenye pango kama hana leseni na si kosa la mpangaji.
 
Back
Top Bottom