Nitoleee upumbavu hapa 🚮Wewe ni mjinga hujui sheria!
Huyo mkuu wa wiwalaya hana shughuli nyingine za kufanya mpaka azunguke usiku kutafuta watu wanao jiuza? Hivi hakuna kero za maana za kutatua?Mimi nilipomuona mke wa Madeleka, nikajua hiyo familia ya Madeleka ina matatizo makubwa. Mke na mume wote mitambo, na yote imefukuzwa kazi serikalini.
Kama unq kesi yako serious usimpe Madeleka, vinginevyo uwe na Hakimu au Jaji ambaye ni robot. Watoa maamuzi ni binadamu, anaweza kuwakoroga kwa ukichaa wake, wakabonyeza ki-uzi chembamba ukajikuta unakosa haki au unaipata kwa kuteseka sana.
Be wise when choosing an advocate. The best advocate is the one who does not wish to lose the court
Hahahaha Rais alishawambia wasifanye mambo kinyume na sheria wakafikiri serikali itawatetea!Hapo ndipo unafanyia kaz serikali lakn unashitakiw wew binafs😑😐🙂
Huyu DC amejitakia mwenyewe kabisa!Hakuna Kosa Gumu kuthibitisha mahakamani kwamba mtu ni kahaba. Kiufupi akikwambia tu alikua anafanya na mtu wake kesi imeisha! utaanzaje kuprove kwamba hela aliyopewa ndio anaitegemea kwenye maisha yake wakati yeye atakwambia ni nauli ya kurudi kwake ?
Tena wengine wengi aliwafata guest house kabisa sasa huyu Mkuu wa wilaya kweli ni mzima? Alikuwa anafikiri nini?Kwanza wahanga wale walikuwa maeneo yao ya Makazi na kuvamiwa na kudhalilishwa hii haijakaa SAWA!! Kisa mtu mmoja ajipatie sifa!! Hii haikubaliki mbele ya Taifa lenye utawala Bora na sheria
Swala hapa ni kufata sheria ! Wamevunja sheria gani?Wazinzi wote na washerati wote lazima wawasuppport wazinzi wenzao humu!! Hii nchi ngumu sana! Mafisadi na wala rushwa wanateteana na wanzinzi nao wanateteana humu sijui tukimbilie wapi!
Yani hii ni aibu sana sanaUnaenda vunja mlango asee sijui hata wale wamiliki wa lounge walimruhusu vpi huyu muhuni kwenda kuamsha watu waliolala ni ujinga mkuu wa wilaya amedhihirisha kiasi gani tunaongozwa na wajinga
Mahakama ndio itahamua kulingana na madhara ni kiasi gani anastahili kulipa!Hiyo hela sa mbona inapoteza maana si wadai hela inayolipika.
Kashitakiwa kwa jina lakeHatuna sheria kukataza kujiuza.
Hata kama ingekuepo (kuna nchi ipo) ugumu huja kwenye kuthibitisha kweli huyu mtu anajiuza.
Mavazi ambayo mdada anavaa kutembea barabarani ni hayo hayo mdada mwingine anavaa kujiuza.
So kwa Tz hua anakamatwa na kesi huishia wilayani kwa kulipa faini 50K kwakua hatuna ushahidi zaidi ya kumkuta kasimama na hatuna sheria inayokataza.
Nahisi kwa sasa Tz tunapromote sana 50/ 50 DC ana mtihani hapa. But anashtakiwa yeye au serikali?
Hivi haya maadili ya kitanzania yameainishwa wapi?Maadili ya kitanzania mkuu
hilo Libomoka ni lipumbavu acha walisokokoteWanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X
Hii June ina mambo Sana 😂
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya biashara ya kuuza miili yao (dada poa) waliokamatwa na Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam Hassan Bomboko, kupitia mawakili wao wakiongozwa na Wakili Peter Michael Madeleka, wametuma barua kwa Bomboko wakidai fidia ya Tsh. bilioni 36.
Kupitia barua hiyo wakili Madeleka ameeleza kuwa madai ya fidia hiyo yanakuja kufuatia udhalilishaji waliofanyiwa wateja wao sambamba na kuwekwa rumande pasipo sababu za msingi, ambapo amesema wateja wao wameagiza kulipwa fidia hiyo ndani ya siku 14.
Imeelezwa kuwa kuanzia Juni 14 na 15 mwaka huu, Mkuu wa wilaya huyo alitumia madaraka yake vibaya kwa kuwaita watuhumiwa hao (dada poa) na kudai kuwa wamekuwa wakijihusisha na biashara ya ukahaba kwenye eneo la Tip Top -Manzese, ambapo aliongoza oparesheni ya kuwakamata wadaiwa hao kutoka kwenye vyumba vyao na kuwapeleka kituo cha Polisi Mburahati ambako wamesota huko kwa takribani siku 5.
Barua hiyo imeendelea kufafanua kuwa ndani ya kipindi hicho Bomboko aliendelea kuagiza Jeshi la Polisi kutotoa dhamana kwa watuhumiwa hao jambo ambalo ni kinyume na katiba na halikubaliki kwenye taswira ya sheria na ulinzi wa ‘Haki za Binadamu’, sambamba na hilo kufuatia maelekezo yake Juni 18 na 19 mwaka huu wateja wao walipelekwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Sokoine Drive, Dar es Salaam lakini hakuna mashtaka yoyote yaliyosomwa dhidi yao.
Amesema malipo ya fidia wanayodai inatokana na hasara ya kiuchumi waliyosababishiwa, madhara yasiyo ya kiuchumi, maumivu na mateso, msongo wa mawazo, maumivu ya kihisia, kupoteza furaha ya kuishi, kushuka kwa sifa na hadhi nzuri kwa jamii waliyoitengeneza kwa muda mrefu, na kwamba malipo ya fidia hiyo yafanyike papo hapo na endapo itakuwa tofauti hatua stahiki za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Pia soma
- Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
- Tetesi: - Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!
- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
Umesoma nilichoandika ?! Au na wewe ni mteja wa hao sewage system wa jiji la Dsm waliokamatwa?Huyo mkuu wa wiwalaya hana shughuli nyingine za kufanya mpaka azunguke usiku kutafuta watu wanao jiuza? Hivi hakuna kero za maana za kutatua?
Ngoja tuone hii 'movie' mpya itaishaje.Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X
Hii June ina mambo Sana 😂
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya biashara ya kuuza miili yao (dada poa) waliokamatwa na Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam Hassan Bomboko, kupitia mawakili wao wakiongozwa na Wakili Peter Michael Madeleka, wametuma barua kwa Bomboko wakidai fidia ya Tsh. bilioni 36.
Kupitia barua hiyo wakili Madeleka ameeleza kuwa madai ya fidia hiyo yanakuja kufuatia udhalilishaji waliofanyiwa wateja wao sambamba na kuwekwa rumande pasipo sababu za msingi, ambapo amesema wateja wao wameagiza kulipwa fidia hiyo ndani ya siku 14.
Imeelezwa kuwa kuanzia Juni 14 na 15 mwaka huu, Mkuu wa wilaya huyo alitumia madaraka yake vibaya kwa kuwaita watuhumiwa hao (dada poa) na kudai kuwa wamekuwa wakijihusisha na biashara ya ukahaba kwenye eneo la Tip Top -Manzese, ambapo aliongoza oparesheni ya kuwakamata wadaiwa hao kutoka kwenye vyumba vyao na kuwapeleka kituo cha Polisi Mburahati ambako wamesota huko kwa takribani siku 5.
Barua hiyo imeendelea kufafanua kuwa ndani ya kipindi hicho Bomboko aliendelea kuagiza Jeshi la Polisi kutotoa dhamana kwa watuhumiwa hao jambo ambalo ni kinyume na katiba na halikubaliki kwenye taswira ya sheria na ulinzi wa ‘Haki za Binadamu’, sambamba na hilo kufuatia maelekezo yake Juni 18 na 19 mwaka huu wateja wao walipelekwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Sokoine Drive, Dar es Salaam lakini hakuna mashtaka yoyote yaliyosomwa dhidi yao.
Amesema malipo ya fidia wanayodai inatokana na hasara ya kiuchumi waliyosababishiwa, madhara yasiyo ya kiuchumi, maumivu na mateso, msongo wa mawazo, maumivu ya kihisia, kupoteza furaha ya kuishi, kushuka kwa sifa na hadhi nzuri kwa jamii waliyoitengeneza kwa muda mrefu, na kwamba malipo ya fidia hiyo yafanyike papo hapo na endapo itakuwa tofauti hatua stahiki za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Pia soma
- Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
- Tetesi: - Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!
- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
Kwani nikiwa mteja na nikanunua hizo K nitakuwa nimefanya kosa gani la jinai na la kikatiba?Umesoma nilichoandika ?! Au na wewe ni mteja wa hao sewage system wa jiji la Dsm waliokamatwa?
Uwe wa kwanza kurudha jiwe kama wewe sio kahaba!! Endelea kumtia kichwaMakahaba nao wamepanda chati siku hizi. 😃😃
Ila Wabongo ni wanafikii, kwenye suala la mashoga wanapinga vikali na kulaani, ila kuhusu madada poa wako winja winja kutetea.
Mnasema wamekamatwa kimakosa pasipo ushahidi, mbona kina Noel na Denis walikamtwa bila uthibitisho? Kisa tyuu mwakyembe na cathe kuwataja?
Na DC ameenda maeneo hayo akijua dada poa ndo chimbo lao. Kawakamataa hao wadada, mnaanza kupovukwa na kutetea, mara oooh wanatumia miili yao na uhuru ni wao, kwan mashoga wanatumia miili yenu? Au huo uhuru wao hawanaa.
Nasemajeee DC kamataa makahaba, dada poa na wateja wao runda ndanii woteee.
Mxxxxxxxxiiiiiiiieeeeeew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]