Ubunifu: Bembea na mabenchi kwenye mti wako mkubwa

Ubunifu: Bembea na mabenchi kwenye mti wako mkubwa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Usikate mti bila sababu unaweza kuutengeneza vizuri uka kupunguza na juu ukafunga makuti ikawa kama mwamvuli.

Chini ama katikati ukaweka bench laini kukaa kupumzika huku ukila na kunywa kama alivyotushauri mwalimu katika kitabu cha muhubiri japokuwa nayo yote ni bado kujilisha upepo ila ni matumizi mazuri ya akili..kama utaweza pia kuweka bembea sawa n vingazi kufuata benchi ambalo utaliweka katikati mwa mti..


Inspired by Mshana Jr

Site Offline.jpeg
rustic tree bench.jpeg
images (4).jpeg
images (3).jpeg
 

Attachments

  • 490ea0522f8d3d636ba0e203ab431760.jpg
    490ea0522f8d3d636ba0e203ab431760.jpg
    30.9 KB · Views: 28
sio tu kubembea, Mara Moja moja mtembezee rungu mkeo au mchumba wako maeneo hayo huwa Pana vibe sana.

Ile swing swing, yeye ana act Kama ana wing
 
Back
Top Bottom