Usikate mti bila sababu unaweza kuutengeneza vizuri uka kupunguza na juu ukafunga makuti ikawa kama mwamvuli.
Chini ama katikati ukaweka bench laini kukaa kupumzika huku ukila na kunywa kama alivyotushauri mwalimu katika kitabu cha muhubiri japokuwa nayo yote ni bado kujilisha upepo ila ni matumizi mazuri ya akili..kama utaweza pia kuweka bembea sawa n vingazi kufuata benchi ambalo utaliweka katikati mwa mti..