Ubunifu: book shelves ideas

Ubunifu: book shelves ideas

1740672004027.jpg
 
Hii ni kama urembo zaidi kuliko uhalisia.. Ama kumbukumbu za tulikotoka.. Kizazi hiki hakina wasomaji wa vitabu tena😪 internet imechukua nafasi ya kila kitu
Nikikumbuka enzi za collection ya vitabu vya
Ujamaa na kujitegemea
World cold wars
Soviet union
African writers series
Riwaya za kibongo
Riwaya za akina James Bond, James Hadley Chase, Nick Carter.. Na maelfu mengine ya vitabu nabaki kusikitika
Kwasasa ni nadra sana kukuta ndani ya nyumba kuna book shelfView attachment 3252251
Ahsante sana mkuu.Ngoja nicho geshe kama hii.
 
Hii nayo kali sana
1740671990749.jpg
very unique n stylish💗💗💗
 
Back
Top Bottom