Ubunifu: Dunia ya upande wa pili

Ubunifu: Dunia ya upande wa pili

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa
Ujenzi na makazi
Biashara na ujasiriamali
Hapa habari mchanganyiko
Jukwaa la picha
Chitchat
Mapishi

Urembo na utanashati.... Lakini nyakati zote sijawahi kupost picha za ubunifu wa maumbo, fenicha na vifaa vya ulimwengu pendwa sana... Ulimwengu wa giza.. Ulimwengu unaotawala dunia

Nitaanza na hizi chache lakini nitaendelea na zingine kadiri muda utakavyoruhusu
Baadhi zinatisha kwa wengine hivyo makimika unapizufungua hasa muda huu unapojiandaa kulala
1741026122071.jpg
 
Back
Top Bottom