Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijapentaa 🙃Usijifunze !!!!
usingizi usio na usingizi, ninaota ndoto za kutisha tu na hakuna zaidi ... mshumaa unawaka, kivuli kinachotoa ni giza kabisa na ninasubiri kimya ... ni nini kinachojificha kwenye kivuli? ni nini? moyo wangu unadunda na kudunda...nimelala au niko macho tu? au jinamizi langu linaniweka tu kwenye minyororo? ...kivuli kinakaribia, kinakaribia zaidi na zaidi, mshumaa unawaka kwa moto dhaifu ... pumzi yangu imejificha, moyo wangu unapiga kwa nguvu na ninaaga kwa matumaini yote na ninapumua kimya ... kivuli kimetoweka na sauti inaonekana kuniambia, usijali kijana wangu ... imani yako kwangu ni imara na imara kiasi kwamba ulinzi wa virusi vyako kutoka leo na uletwa hapa chini ya virusi vyangu. wishes...kila hatua utakayopiga, kila hamu yako itatimia endelea kuamini na kusambaza ujumbe...View attachment 3258015
Kazi yake ni nini?Mtumishi wa kuzimu
Sijaelewa kaka,Kutumikia kazi za kuzimu
Kinachoniudhi tu ni hii nadharia ya kwamba kila kitu kinachohisiwa kuwa kibaya kinapewa rangi nyeusi 😡😂Binafsi sijaona kitu chochote cha kutisha kwenye hii mada. Naona tu sanaa nzuri za kiubunifu kwa kutumia maumbo ya kufikirika na wanyama mbalimbali.
Kinachoniudhi tu ni hii nadharia ya kwamba kila kitu kinachohisiwa kuwa kibaya kinapewa rangi nyeusi 😡
Mungu, malaika, nk vyote huonyeshwa vikiwa vyeupe ila inapokuja kwa shetani, majini nk ndio rangi nyeusi hutumika. Mbona hawatumii nyeusi kuonyesha nguvu, utawala na uwezo wa mungu?Kinachoniudhi tu ni hii nadharia ya kwamba kila kitu kinachohisiwa kuwa kibaya kinapewa rangi nyeusi 😡😂
Lakini hii rangi inawakilisha nguvu utawala na uwezoView attachment 3258044
Sijaelewa kaka,
Hiyo ‘kazi’ ni ipi?
Yupo kuzimu ndio, ni mtumwa ndio, sasa kazi maaulum kwake ni ipi?