Ubunifu: Dunia ya upande wa pili

Ubunifu: Dunia ya upande wa pili

Binafsi sijaona kitu chochote cha kutisha kwenye hii mada. Naona tu sanaa nzuri za kiubunifu kwa kutumia maumbo ya kufikirika na wanyama mbalimbali.

Kinachoniudhi tu ni hii nadharia ya kwamba kila kitu kinachohisiwa kuwa kibaya kinapewa rangi nyeusi 😑
Nagongea na msumali kabisa 😎
 
kila kitu kinachohisiwa kuwa kibaya kinapewa rangi nyeusi
Tukuweke kwenye chumba cha giza ambacho huwezi kuona chochote hatukufungi macho tunakuacha unaona giza tupu, chumba chenye mbu wa kutosha, tukuwekee na jamaa mmoja alievalia miwani ya kuona mtu alie gizani akiwa ameshika mkia wa tai mkononi na nguo za kuzuia mbu wasimng'ate, kisha jamaa aanza kukuwesha mboko mfululizo huku mbu wanakufaidi, wewe utakachokiogopa ni nini a) giza, b) mbu au c) mikwaju kutoka kwa mtu ambao haumuoni?

Jibu hili swali halafu nitakwambia kwanini giza au rangi nyeusi inahusishwa na mambo meusi
 
Kuna kanisa moja la RC nchi jirani niliingia humo na kuona picha moja kubwa ya Yesu mzungu kamukanyaga shetani shingoni akiwa amelala chini mwafrika😳
Mungu, malaika, nk vyote huonyeshwa vikiwa vyeupe ila inapokuja kwa shetani, majini nk ndio rangi nyeusi hutumika. Mbona hawatumii nyeusi kuonyesha nguvu, utawala na uwezo wa mungu?
 
Tukuweke kwenye chumba cha giza ambacho huwezi kuona chochote hatukufungi macho tunakuacha unaona giza tupu, chumba chenye mbu wa kutosha, tukuwekee na jamaa mmoja alievalia miwani ya kuona mtu alie giza akiwa ameshika mkiwa wa tai mkononi na nguo za kuzuia mbu, kisha jamaa aanza kukuwesha mboko huku mbu wanakufaidi wewe utakachokiogopa ni nini giza, mbu au mikwaju kutoka kwa mtu ambao haumuoni?

Jibu hili swali halafu nitakwambia kwanini giza au rangi nyeusi inahusishwa na mambo meusi
Giza litanitisha zaidi😎
 
A

chana na habari za kusemekana namana hata mfano wa picha kipindi hicho akilini mwa binadamu haikuwapo si ni ubatili tu lakini twende tu hivyo hivyo
AI itakuwa ilikuwepo toka kipindi hicho 😎
 
Nishati ya kihisia inapaswa kwenda mahali fulani,.....! na kujichukia ni hisia yenye nguvu. Ikigeuzwa ndani kwa ndani, inakuwa jehanamu yetu na gereza la kibinafsi. Madawa ya kulevya, obsession, kulazimishwa, huzuni, mahusiano ya vurugu, magonjwa. Ikikadiriwa kwa nje inakuwa kuzimu yetu ya pamoja. Vurugu, vita, uhalifu, dhuluma. Nk View attachment 3257999Lakini yote ni kitu kimoja. Kuzimu kuna majumba mengi pia...πŸ’₯πŸ”₯
Thigh Gape Ya Huyu Bibie Imenidindisha Vibaya Mnoo,,Na Hiyo String Ndio Kabisaaa Unaisogeza Unachomeka Huwaga Hatuzivui Hizo Kutoka Kwa Vipenzi Vyetu.
 
1741192439511.jpg
 
Back
Top Bottom