Ahsante mkuu, ahsante in advance kwa update piaHiyo iliagizwa China Alibaba zipo nyingi ngoja nikutafutie link uzione.
Bei arround 2m usafiri around laki tatu sijui tano hadi kwangu!?
Lakini katika output per hour, inafaa kwa matumizi madogomadogo na kati (mfano debe, debe mbili) uwezo wake sio wa kuweka kituo cha kukamua mafuta ya alizeti kama yale makubwa. Haina chujio ni press tu.
Inatumia umeme wa nyumbani tu 220-250
Ntaupdate hii comment kwa alibaba link ya hiyo