Ahsante mkuu, ahsante in advance kwa update piaHiyo iliagizwa China Alibaba zipo nyingi ngoja nikutafutie link uzione.
Bei arround 2m usafiri around laki tatu sijui tano hadi kwangu!?
Lakini katika output per hour, inafaa kwa matumizi madogomadogo na kati (mfano debe, debe mbili) uwezo wake sio wa kuweka kituo cha kukamua mafuta ya alizeti kama yale makubwa. Haina chujio ni press tu.
Inatumia umeme wa nyumbani tu 220-250
Ntaupdate hii comment kwa alibaba link ya hiyo
Kuna wakat fulani, zamani zililimwa kondoa kihistoria.Hivi mbegu za mbarika zinapatikana kweli. Unaweza agiza gunia ukapata
DoneAhsante mkuu, ahsante in advance kwa update pia
Weka tenda mikoa ya kilimo cha ndizi huwa naziona sana migombani hasa msimu wa kiangaziKuna wakat fulani, zamani zililimwa kondoa kihistoria.
Lakini sasa ivi hakuna anayelima.
Nilizopata mm niliwapa vibarua wamama wakanikusanyia zinazojiotea mtaani. Nilipata kama debe 8- 12 hivi kwa ajili ya pilot study