Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
kila mmoja na uhitaji wakeWaswahili wanapanda Maua badala ya mboga
Maajabu kweli
Yaani kwangu mpaka pilipili nimepanda
Kweli mkuukila mmoja na uhitaji wake
Duh pole sanaNililima kabeji nguruwe pori wakapita nazo. Nikaja kuweka hoho nikavuna vuna kama mara 4 zikaisha. Nikarudia tena hoho nikafanya makosa sikuweka kizuizi cha kuku wakapita nazo. Sasahivi nasubiri nikitoa tu mahindi narudisha hoho
Mambo kama hayo kwa mkulima au mfugaji ni kawaida sana. ShukraniDuh pole sana
Nimetamani kupanda kotmiri, nilienda kwa rafiki yangu nikakuta kibustani chake kizuri cha veggies 😍
Nishapata wazo maua yote nafyeka naanza kupanda vitu vya kueleweka..!!Waswahili wanapanda Maua badala ya mboga
Maajabu kweli
Yaani kwangu mpaka pilipili nimepanda
Thanks DepalBustani ya Mboga nyumbani..
1. Upandaji wa kwenye tairi
2. Kwenye viroba
3. Upandaji wa kwenye kihenge ( unatengeneza kwa kutumia matofali/ miti
4. Kwenye madumu
5. Kwenye vitalu
Vitu kama hoho, karoti, pilipili, mboga za majani, bamia, nyanya chungu, vitunguu, nyanya inatakiwa ni kuzunguka bustanini kuchuma na kupika. Very Organic ❤️
Bora upande mapera hata watoto watakuja kuiba 😄Nishapata wazo maua yote nafyeka naanza kupanda vitu vya kueleweka..!!
Twambie basi mkuu, tutafanyaje kilimo hicho,
Hii ya maua nilipiga marufuku kwangu zipo carribean palm tree tatu na ukoka the rest ni mboga za kila ainaWaswahili wanapanda Maua badala ya mboga
Maajabu kweli
Yaani kwangu mpaka pilipili nimepanda
Safi sana, kama una ardhi kwanini tusitumie kwa manufaa yetu zaidiHii ya maua nilipiga marufuku kwangu zipo carribean palm tree tatu na ukoka the rest ni mboga za kila aina