Ubunifu: Kilimo cha nyumbani ukiwa na eneo dogo

Ubunifu: Kilimo cha nyumbani ukiwa na eneo dogo

a2a0dfc9-1335-4206-9d35-a3f7e595a651.jpeg
 
Bustani ya Mboga nyumbani..
1. Upandaji wa kwenye tairi
2. Kwenye viroba
3. Upandaji wa kwenye kihenge ( unatengeneza kwa kutumia matofali/ miti
4. Kwenye madumu
5. Kwenye vitalu

Vitu kama hoho, karoti, pilipili, mboga za majani, bamia, nyanya chungu, vitunguu, nyanya inatakiwa ni kuzunguka bustanini kuchuma na kupika. Very Organic ❤️
Bebe ushajaribu kupanda chochote hapo?
 
Back
Top Bottom