Ubunifu: Mixer ya matunda kwa ajili ya kupunguza uzito na kitambi

Ubunifu: Mixer ya matunda kwa ajili ya kupunguza uzito na kitambi

1740339122202.jpg
 
Yanasaidia pia kuboresha ngozi, hamu ya kula, nguvu za mwili.. Mmeng'enyo wa chakula nknkView attachment 3246903
1. Lower your food intake
2. Eat balance diet +adequate amount of water
3. Exercise regularly
4. Reduce starch ,sugary foods and carbohydrates intake
5. Sleep early

Ukifuata hizo kanuni hapo juu kitambi na uzito utaishia kuvisikia kwa wenzako
 
BOMU la asili la kusafisha ini na mishipa ya damu 😍
Viungo:
2 machungwa makubwa (juisi iliyopuliwa hivi karibuni)
Vijiko 2 vya asali
2-3 karafuu ya vitunguu (iliyokatwa)
Kijiko 1 cha tangawizi mpya iliyokunwa
Kichocheo kamili kwenye maoni 👇
1740339758737.jpg
 
1. Lower your food intake
2. Eat balance diet +adequate amount of water
3. Exercise regularly
4. Reduce starch ,sugary foods and carbohydrates intake
5. Sleep early

Ukifuata hizo kanuni hapo juu kitambi na uzito utaishia kuvisikia kwa wenzako
Thanks for sharing💗💗💗💗
 
Daily Dose of Healthy Drinks 😋🥤🍹
1740341514251.jpg
 
Acha kununua tembe kwenye duka la dawa, kwa sababu kwa chayote, utaondoa maumivu ya goti, miguu iliyovimba, shinikizo la damu, cholesterol, mzunguko mbaya wa damu na anemia. 👇👇👇
1740341574395.jpg
 
Kwanza ufanye kama sio adhabu, pili usiwe mvivu, tatu tamaa ya kula kula ovyo weka pembeni, nne weka juhudi, tano lazma utakate hizo mambo mkuu plus mazoezi

Mshana uzi mzuri
🙏🏿🙏🏿🙏🏿 mwanzoni ni ngumu maana unakuwa umeshalizoesha tumbo kupata chochote..
 
Back
Top Bottom