Bamia ni mojawapo ya vyakula bora vya kupambana na kisukari, vinavyojulikana kwa sifa zake za hypoglycemic (kupunguza sukari kwenye damu). Pia husaidia kurekebisha viwango vya cholesterol, kuzuia lipids juu ya damu
Ukiachana na matunda, na kama huwezi kupika hivi basi usiviache ukivikuta mahali.. Ni milo kamili na iliyozingatia mahitaji ya unene kwa kiwango chake.. Huwezi kunenepa tumbo ukila hivi