Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
HATA USIPANIKI mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe....
Wewe wajali sana wale rafiki zake.... piga nao story, waonyeshe picha zako kadha wa kadha... washirikishe masuala yako ya kiofisi... wape namba zako zote za simu hadi ile ya mezani.....
Muda wa kuondoka wapatie nauli ya kutosha kisha waelekeze unapoishi wewe na ikibidi hata wanapoishi wazazi wako......
[HASHTAG]#Myfriend[/HASHTAG]! next time ukimuita ataogopa hata kuja na MKOBA WAKE atahisi utaujali wenyewe zaidi yake.... yaani atakuja kama alivyo!!!!
Sent from my Iphone 7 using Jamiiforums mobile app