Simaanishi kiongozi asiige ama asiendeleze aliyoyakuta, na kuyafanya sehemu ya mafanikio ya uongozi wake.
Wala sisemi kiongozi hapaswi kupokea ushauri wa wasaidizi wake. Muhimu ni wewe unapoingia madrakani unaibua mambo gani ambayo unayasimamia kwa nguvu kama njia ya kuonyesha uwezo wako binafsi?
Mengi tunayoyaona ni matokeo ya mawazo ya watu waliokuzunguka kila mmoja akijifanya mchambuzi mtaalam na mbunifu, halafu wanakuweka mbele na kukusifu kwa kuyazindua.
Alama ya kiongozi sio hotuba kila kukicha, bla bla blaaa, mabadiliko yanahitaji ubunifu wako hata kama ni wa kiwango kidogo, kisha na wengine wananchangia.
Usingizi mwema.