Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Rangi ni kitu muhimu sana kwenye ubunifu wowote wa mbao na mazao yake kwenye kutenhengeza vitu vingi
Kuna wenye mapenzi na rangi asilia ya mbao lakini kuna wenye kupendelea rangi za kupuliza na wengine hupendelea polish tu ama cilla
Sasa kuna hii teknolojia nyingine ya kuunguza ubao ama kuuchoma na moto ili kupata rangi ya kipekee