Mshana Jr you are the bestRangi ni kitu muhimu sana kwenye ubunifu wowote wa mbao na mazao yake kwenye kutenhengeza vitu vingi
Kuna wenye mapenzi na rangi asilia ya mbao lakini kuna wenye kupendelea rangi za kupuliza na wengine hupendelea polish tu ama cilla
Sasa kuna hii teknolojia nyingine ya kuunguza ubao ama kuuchoma na moto ili kupata rangi ya kipekeeView attachment 3277263