Ubunifu: Sanaa ya kuchoma moto mbao kwa ajili ya kupata rangi

Huu ubunifu unafanya mwenyewe? I mean u maisha jifunza na kuufanyia kazi? Maana kwenye baadhi ya picha kuna mkono ya wazungu au ume wa ajiri? Vinginevyo ni sanaa izuri sana.
 
Huu ubunifu unafanya mwenyewe? I mean u maisha jifunza na kuufanyia kazi? Maana kwenye baadhi ya picha kuna mkono ya wazungu au ume wa ajiri?
Sidhani kama ni yake.
.kizuri kula na mwenzio.huenda kaona sehemu kaamua kushare
 
Mkuu una nyuzi za kipekee sana za picha ,asante kwa mchango wako humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…