Mbwilimbwili
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 183
- 282
diversification muhimu, hii inakupa uhakika huwezi kufilisika kirahisiExactly, kubalance muhimu 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
diversification muhimu, hii inakupa uhakika huwezi kufilisika kirahisiExactly, kubalance muhimu 😁
Kabisa mkuu 📌📌👏👏diversification muhimu, hii inakupa uhakika huwezi kufilisika kirahisi
Nakazia. UBORA ni tatizo sugu kwa radio na tv hasa tv hapa Tz. Miaka inavyozidi kwenda na ubora unapungua.Katika zama hizi za MEDIA CONVERGENCE mainstream media aka VYOMBO VYA HABARI VYA UTANGAZAJI PENDWA yaani Redio na Television vikishindwa kuendana na haya mabadiliko upo uwezekano wa kupotea na kushindwa kujiendesha kabisa.
Ni muhimu media owners wafahamu kwamba kuna change ya paradigms za namna hadhira inavyokula maudhui.
Mtindo wa sasa ni wa ushindani na uuzaji wa maudhui yenye ubora wa hali ya juu mfano wa NETFLIX, BOOMPLAY, SPOTIFY, MILLARD AYO nk
Pia new media inaenda na mtindo wa kileo wa kuwafuata audience waliko.
Pia wanahitaji content ya maana mfano football, na other premiere shows.
Shangaa kwamba redio za FM kubwa Bongo kwenye radio garden tu humo, hawamo!!
Kingine ni UBORA UBORA UBORA, Kukosa ubora ni tatizo kubwa kwa majority ya broadcast media za Tanzania both radio na TV.
AZAM MEDIA imekuja kuonyesha tofauti ya namna UBORA unavyohitajiwa sokoni; pia, MULTICHOICE pamoja na gharama zao kuwa kubwa bado wanaandamiwa. ZAMA za kutazama Picha zilizofubaa zilishapitwa.
MEDIA OWNERS Wabadilike; wakubaliane na nini soko la sasa linataka.
BROADCAST CONTENT kibongobongo HAINOGI sababu kubwa ni UBORA na kushindwa kuwafikia Hadhira waliko yaani kwenye mtandao wa intaneti.
UBORA na KWENDA NA MABADILIKO yaliyopo sokoni.
Itakufa? Au ishakufa!Wapwa, kuna taarifa inasambaa kuhusu mgomo wa wafanyakazi Sahara Media Group, kwamba hawajalipwa mishahara miezi mitatu sasa sababu kampuni haina hela.
Mi huwa nawaza Sahara ni media kubwa na ni kongwe sana ila program zake ni local, kitu ambacho hakiwavutii wanamatangazo. Quality ya vipindi iko chini. Program manager hana budi kuamka, media itakufa.
Anthony diallo bora angeiuza hii redio sema wasiwasi wangu sijui km ccm watamkubaliaSahara media ubunifu siku hizi ni zero, wamenasa na vipindi vilevile huku miaka imeenda. Kipindi hicho marehemu Fredwaa aliinogesha asubuhi vilivyo na sindano tano za moto, ukija usiku kipindi cha michezo na muziki wa DRC. Unakuja jumapili usiku vikota kutoka Mumbai huko. Ila sasa nyakati zimebadilika na mambo yamebadilika pia. Kwa startv content zao ni zilezile hadi leo na hazina ubunifu wowote ule ila wanafanya kimazoea tuu. Ukiangalia baadhi ya vipindi kama vile futuhi na wale akina mkombe wako vilevile hawachekeshi tena sababu ya kukosa ubunifu. Mimi nilishaacha kuitizama startv aisee
Ukongwe hausaidii kama hutoendana na mabadilikoWapwa, kuna taarifa inasambaa kuhusu mgomo wa wafanyakazi Sahara Media Group, kwamba hawajalipwa mishahara miezi mitatu sasa sababu kampuni haina hela.
Mi huwa nawaza Sahara ni media kubwa na ni kongwe sana ila program zake ni local, kitu ambacho hakiwavutii wanamatangazo. Quality ya vipindi iko chini. Program manager hana budi kuamka, media itakufa.
Baba kwenye sindano za moto na Fred waa na kile kipindi cha hakuna kulala na beat ya juma nature 😂😂Sahara media ubunifu siku hizi ni zero, wamenasa na vipindi vilevile huku miaka imeenda. Kipindi hicho marehemu Fredwaa aliinogesha asubuhi vilivyo na sindano tano za moto, ukija usiku kipindi cha michezo na muziki wa DRC. Unakuja jumapili usiku vikota kutoka Mumbai huko. Ila sasa nyakati zimebadilika na mambo yamebadilika pia. Kwa startv content zao ni zilezile hadi leo na hazina ubunifu wowote ule ila wanafanya kimazoea tuu. Ukiangalia baadhi ya vipindi kama vile futuhi na wale akina mkombe wako vilevile hawachekeshi tena sababu ya kukosa ubunifu. Mimi nilishaacha kuitizama startv aisee
Kweli kabisa na haipingiki! Kwanza Sahara media ndio ingekuwa inakimbiza Tanzania nzima lakini sasa ndio hivo unasikia hata hela haina.Nakazia. UBORA ni tatizo sugu kwa radio na tv hasa tv hapa Tz. Miaka inavyozidi kwenda na ubora unapungua.
Wangekuwa makini katika kuandaa maudhui wasingekosa matangazo na sponsors walio tayari kutoa pesa nyingi sana.
Media inafaida kubwa sana ila wenye media hawana maono.Biashara ya utangazaji ilishakupitwa na wakati sana. Tanzania bado biashara insurvive kwa mbinde mbinde kwa sababu wenye media hizo wanatumia mbinu nyingine kijipatia kipato, siyo utangazaji tu. Halafu nchi yenyewe isiyokuwa na biashara nyingi ya utangazaji lakini in wingi wa vituo vya redio na TV unadhani matangazao hayo yatatoka wapi.
nakaziaMedia inafaida kubwa sana ila wenye media hawana maono.