Ubunifu: Vijumba vya kupunga upepo na sehemu ya wageni

Ubunifu: Vijumba vya kupunga upepo na sehemu ya wageni

1740978084596.jpg
 
Money talk bandugu . ukiwa nazo huhitaji kubanana na watoto sebuleni.. Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako.. Pembeni ya garden yako unaweza kuweka kitu kama hiki❤❤❤View attachment 3246682
Usituletee balaa, hao wageni si kila siku watakuwa wanakuja kuvizia ugali, ukiona anaomba rimoti ya tv ujue anavizia ugali hicho ni kisingizio tu.
 
Back
Top Bottom