Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako
Usituletee balaa, hao wageni si kila siku watakuwa wanakuja kuvizia ugali, ukiona anaomba rimoti ya tv ujue anavizia ugali hicho ni kisingizio tu.Money talk bandugu . ukiwa nazo huhitaji kubanana na watoto sebuleni.. Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako.. Pembeni ya garden yako unaweza kuweka kitu kama hiki❤❤❤View attachment 3246682