Ubunifu; vitanda vya pallets (chaga za kubebea mizigo mizito)

1740979781983.jpg
 
Ndugu Mshana ni ubunifu mzuri sana, lakini kwetu na hii mibao ya pallets ni mwendo wa kukaribisha kunguni, mende na mchwa. Kama tukiweza kuwadhibiti hawa viumbe basi tutafaidika sana na hizo pallets. Na tatizo lingine ni kuwa mafundi wetu wengi kwenye finishing wanazingua, unaweza kulala mara ukigeuka unakutana na msumari wa mbavu.
 
Asante

Asante sana ila ishu ya mende na viroboto ni ku control tu usafi.. Mafundi nao kwenye finishing ni tatizo kubwa sana
 
Back
Top Bottom