misoza Gete
Member
- Sep 28, 2012
- 58
- 21
Asante sana ila ishu ya mende na viroboto ni ku control tu usafi.. Mafundi nao kwenye finishing ni tatizo kubwa sanaNdugu Mshana ni ubunifu mzuri sana, lakini kwetu na hii mibao ya pallets ni mwendo wa kukaribisha kunguni, mende na mchwa. Kama tukiweza kuwadhibiti hawa viumbe basi tutafaidika sana na hizo pallets. Na tatizo lingine ni kuwa mafundi wetu wengi kwenye finishing wanazingua, unaweza kulala mara ukigeuka unakutana na msumari wa mbavu.