Usione gere. Na wewe jitumbukizemo - bado nafasi ni tele.Kuna nini mbona Kila siku unafungua thread?
MhKunde na parachichi
View attachment 3252364
Mbwa mchemsho.😃
View attachment 3252372
Mbusii , aka ndafuuuu
Hivi kwa nini mbwa huwa anapenda kucheka hata kama akipikwa?View attachment 3252367
Yammuu yamuuu😊😊
Hiki chakula gani senior?
Mpare ukaanza na menu yenu pendwa
Nadhani ni kicheko, labda kwa sababu ameshafika ahera.Hivi ni kicheko ama ni kilio?