Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Hapo pembeni una kaugali kalainiiii na maji ya mtungini ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo pembeni una kaugali kalainiiii na maji ya mtungini ๐๐๐
Mbwa analiwa ?
Hii ndafu ni nadra sana kupatikana at household level.
Mbasa wa mto Ruhuhu auMzee ulishawahi kula Mbasa
Ndiyo.Mbwa analiwa ?
Hii kitu ukifanya masikhara unaweza kujikuta unamaliza hata laki kwenye meza ya pweza.
Duuuh aseehNdiyo.
Chakula hiki kinaitwaje ?!
Ukifunga utakuwa hujatutendea haki. Sijaona uyoga.Tufunge na hii๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟView attachment 3252484
Iringa moja hiyo!View attachment 3252364
Mbwa mchemsho.๐