Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia lazima uwe na maji pembeni maana unakabwa na kiu balaaHii kitu ukila lazima utoke jasho sana😂
Hii hapa, Sangara na Dona, menu la Kanda ya ziwa💪Wasukuma leteni menu zenu 😹😹
Dah! Umenikumbusha mbali sana. Ila chakula hiki unakula kwa tahadhari. Lazima uwe na maziwa ya mgando kama kitu cha kushushia la sivyo kukata gogo itakuwa ni shughuli. (condition - Hiyo ni kama hicho "Brown" ni ugali wa ulezi)