Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini
Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na kipato huku