Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safiiii......Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini
Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na kipato hukuView attachment 3243624
Hii pia iko vizuri
Ubunifu wa hali ya juu..