Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Yaani kuna forum ukiingia unakuta mshana mshana mshana. Kule ujenzi pamechafuka. Unaamua tu utoke hukuti mada😂😂😂.
Mara ujenzi kutumia mbao, mara makopo, kule chuma. Mara ubunifu kujenga kutumia mende. Yaani hukuti jingine na anapost kila sekunde. Akidownload katuma. Mzee kausha basi. Tumekubali acha thread itembee😂😂😂😂