Ubunifu wa Manara umeshuka, Mwijaku anahitajika haraka

Ubunifu wa Manara umeshuka, Mwijaku anahitajika haraka

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Baada ya Mwijaku kulalamika kwamba Mo Dewji ana dharau hapokei simu zake na ya kwamba tajiri wa yanga Gharib huwa anamualika mara kwa mara pale salamander nili break news kwamba yupo kwenye negotiation ya kuhamia yanga kwa kupewa millions 60, gari kali pamoja na kupangiwa nyumba masaki

Wengi walidhani labda naongea pumba ila ukweli jamaa anahitajika sana kitengo cha habari yanga, kwa sasa hakuna wa kumtukana MO Dewji, albino keshachuja kwenye hilo na kuna uwezekano TFF wakamla kichwa

Ukiangali tu hint aliyotoa Mwijaku ni dhahiri atammudu Mo dewji kimatusi na dhihaka kwani hata baada ya interview ya BM3 alihoji KWA NINI KILA MTU AKULALAMIKIE WEWE?? yaani hapo akihoji tuhuma why ziwe nyingi kwa Barbara,huyu anafaa kuwa attack dog kwa msimu mpya

Jingine ni kufeli mapema kwa albino katika jukumu la msingi la yanga la kutunga majina ya utani makolo linalotumika likimaanisha makolokolo ya jezi ukifupisha kwa kiswahili fasaha ni mjomba sasa eti msimu huu amekuja na jina manyonyo ni bora wakae chini na mwijaku na General uto yule mhehe aliyetunga lile jina kali of all time la utopolo, wawekwe kambi hata verde hotel zanzibar wakitafuta jina kali la msimu huu la kuwatania simba

Itapendeza kama uhamisho wa mwijaku utaenda sambamba na wa diamond platnumz(anayetaka pesa nyingi ili ahamie yanga) wakitambulishwa tarehe 6 /08 pale uwanjani patanoga sana
 
makolo kila siku yanaanzisha nyuzi mpya, ndo maana nasema humu wengi wa makolo hawana akili. taasisi smart kama yanga haiwezi kusemewa na huyo Mwijaku.

Mwijaku na Kay mziwanda waendelee kuionglea timu yao ya damuni ya Makolo. Na nakupa onyo la mwisho ukiendelea kutumia hii ID yako hii kuleta ukolo wako nitakuweka wazi Dunia ikujue kilaza Mkubwa wewe
 
Ety huu nao ni Uzi tayari duuuuuuh tunategemea soka letu liendelee miaka buku
 
Back
Top Bottom