Ubunifu wa Profesa Kapuya alipokuwa Waziri wa Elimu na fomu za kujiunga Msalato sekondari

Ubunifu wa Profesa Kapuya alipokuwa Waziri wa Elimu na fomu za kujiunga Msalato sekondari

Kuna watu wanatamani udini ustawi,
Yani hijab wavae wengine kuumia umie ww,
Kwanza hata hao waisilamu kuna wengine hawataki kuvaa hijab,na hata wasio waisilamu pia wanaweza kuvaa,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasaivi hata Trafiki na polisi waruhusiwe kuvaa hijab na nikabu mbona waroma wanavaa rozali shuleni wakati kisheria haziruhusiwi.Hata mambo ya udini yanaathiri sana kwenye vichwa vya watu ukichukulia neg-

Mtoto wa Dada ako anaendeleaje saizi ?Weka namba yake hapa mabaharia tuchangamkie fursa ya uncle wako aliefaulu msalato akahamishiwa kusikojulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
tuache tabia za kujadili dini za watu wengine tabia hii inachochea chuki miongoni mwetu na hakuna mnufaika mkubwa kwenye hili zaidi ya kujiona dini ya mtu ni fahari kuliko ya mtu mwingine wakati wote dini hizi tumezikuta na zimeingiliana pia katika familia zetu. nikija kwenye hoja yako, kwani hijabu ni mtaala?mtu akijivalia hijabu lake linaathiri nini wasiolivaa? Jamani tupende nchi yetu tusipende kujenga chuki zisizo na msingi, mkristo sali sana kwa imani yako na muislamu aswali sana kwa imani yake Hukumu tuiache kwa mungu pekee
 
Back
Top Bottom