Ubunifu wa Yanga upo juu sana

Watu wanajenga timu, wewe unasema ni sifa za kijinga..?? Endeleeni kusubiri pakuche
Yanga wakijiunganisha na kupata ruzuku serikalini, Simba wanalalamika kuwa Serikali inawabagua wakati wao hawana initiative ya kutafuta hizo ruzuku.
 
Yanga wakijiunganisha na kupata ruzuku serikalini, Simba wanalalamika kuwa Serikali inawabagua wakati wao hawana initiative ya kutafuta hizo ruzuku.
Hawaoni kama tumeipeleka benki ya Serikali huko RSA... Fursa zinatafutwa, hawalijui hili
 
yanga ubunifu uko uko juu sana,zingatia hivi juzi wameunda kamati kumalizia suala kuanzishwa kwa kampuni,wakati wao simba bado wanavutania ile 20b
 
Timu inajengwa kwa kufungua tawi

We hutumii vizuri akili yako, timu bila mashabiki c timu hiyo bali familia yako. Huoni kocha wa mamelod analalamika nini?
 
Kwakweli Yanga upo level nyingine kabisa kwasasa, hana mpinzani na hilo halina ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…