Ubunifu wenye kipato na ajira

Kaka hii ni Sanaa inayoanzia uchoraji hadi kufkia kuchonga au kuumba hivyo vinavyoonekana hapo.
Shida vitu hivi si lazima uende shule na kupitia njia za wengine Bali wasaidiwe vitendea kazi kwa wale wenye mioyo na Nia katika ubunifu vinginevyo mtapolish Wrong things mkitegemea ving'ae.... Yaani mabadilishano ya vifaa na maarifa kuleta matokeo itakuwa duni mno.
 
Ni wazo tuu ambalo linaweza kufanyiwa maboresho na likawa lenye tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…