Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wazo tuu ambalo linaweza kufanyiwa maboresho na likawa lenye tijaKaka hii ni Sanaa inayoanzia uchoraji hadi kufkia kuchonga au kuumba hivyo vinavyoonekana hapo.
Shida vitu hivi si lazima uende shule na kupitia njia za wengine Bali wasaidiwe vitendea kazi kwa wale wenye mioyo na Nia katika ubunifu vinginevyo mtapolish Wrong things mkitegemea ving'ae.... Yaani mabadilishano ya vifaa na maarifa kuleta matokeo itakuwa duni mno.
Hivi wale wajinga wataacha kuiba pesa za vifaa kweli ?Ni wazo tuu ambalo linaweza kufanyiwa maboresho na likawa lenye tija