Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

EPL ina ushindani gani wakati hadi ka Leicester kamekua bingwa, yani eti mchovu wa kushuka daraja anakua bingwa.......ubora wenu uleteni UEFA au Europa basi tuuone
Soma thread yote nimeelezeaa maana ya ushindani uliopo england
 
Poa
 
EPL iwe Mbayaa iwe mbovuuu iwe Na Tm Mbovu lakin Hamuach kwenda vibanda umiza kuziangali hzo hzo !!!
Kweli kabisa mkuu hata ukiona Barcelona anacheza na Sevilla unaona mpira hauna radha sasa ukiona hata Leicester anacheza na Sunderland lazima ukodoe macho
 
We kweli poyoyo na pimbi tu, Liverpool? Bayern Munich je? Juventus je? Shida mpira hamjui na mmeanza kushabikia mpira juzi juzi tu
basi sote mapoyoyo... we ndio kwa kutaja izo timu ndio umekuwa umeanza kufatilia mpira zamani? 😀 You are joking right? Mbona hukuitaja AC Milan? Lengo hapo sio kuzitaja timu zote, bali ni kutaja mifano ya big teams, saa nyengine sio lazima uwataje wanyama wote ndio mtu akuelewa unapomwambia maana ya mnyama. Au ulotaka pia nikutajie timu zote ambazo si kubwa nianze na wigan, bournmouth nikuandikie zote ndio uelewe? Kujifanya much know kumbe hamna kitu
 
Duuuh! Umeharakisha ku-conclude, ungesubiri games za RM vs Mon & Buyen vs Arsenal zimalizike ....
 
Yaan wewe hapo unaweka majina yaliyokosa mwelekeo unasema timu kubwaa yaana unaiweka arsenal mpaka sasa kapigwa 3:1 na bayern na unamsahau bayern
We umeona PSG ndio kapata muelekeo? Kisa kamfunga Barca 4? Nawasubiri museme PSG anachukua kombe la UEFA mara hii... hahahah... kwa kigezo cha kumfunga barca 4.
 
England wamefanyia marketing ligi yao. Branding.
Ni kama Leo Diamond aimbe wimbo hata ukiwa mbovu utafahamika sana. Branding.

Uingereza ina makoloni Mengi ya zamani kuliko nchi nyingine yoyote. Makoloni yatamfuatilia colonial master.

Kama unahisi ligi ya Spain inatabirika kuliko Spain,nenda ukabeti.

Barcelona kufungwa na PSG ni data inayoitwa outlier kwenye statistics.
 
Hakuna ratiba mbaya kama ya la liga kama ulikua ujui sasa, kusimamisha ligi kwa karibia wiki tatu kupisha sikukuu ni mbaya sana maana hapa mchezaji ana loose fitness na kama unavojua ili uwe fit kwenye soka inabidi ucheze mpira kila wiki, hii ina favor EPL kabisa lakini mwisho wa siku mkija mashindano nje ya EPL mnaruka ruka hovyo tu
 
Kweli kabisa mkuu hata ukiona Barcelona anacheza na Sevilla unaona mpira hauna radha sasa ukiona hata Leicester anacheza na Sunderland lazima ukodoe macho
Mimi naangali EPL kwa ajili ya ku bet tu Ila huwa naangalia la liga kuona jinsi soka safi la pasi na ufundi mwingi linavyotandazwa.......Sasa subiri uone Sevilla anavyomchana chana bingwa wa dhaifu wa EPL leicester
 
Umejaza ma team ya EPL ova ni bora hapo Ila hakuna kitu, hapo naona umefuata mahaba na sio umakini
 
Yaan wewe Klopp na Guardiola walalamikie kutokuwa na mapumziko halafu wewe hapa tandale useme ndio yana msaada!!?
Ligi ina fatique, na kipindi ambacho ligi zengine hupumzika bas EPL wao hucheza kila baada ya saa 48, ndio maana wana pata sana injuries na wana ingia Eufa wakiwa wamechoka.
Kupumzika kuna saidia sana. Bosi
Winter break is the big differnce especially kama ligi haina ushindani safi sana.
 
Unaongea as if kila timu haina wachezaji 22 kwenye kikosi
 
Mtoa mada kichefuchefu.sema arsenal ndo team mbovu na haistahil tena kushiriki ucl,yenyewe na totenham.ni muda sasa wa chelsea,liver na man u kushiriki tena,hata zikifail si kwa humiliation ya 5_1 kama arsenal.
 
Baelezeee..na tulibeba kombe nyumbani kwa bayern
 
Napoli 1 - 0 Real Madrid , itafahamika tu .
Usituchezee wewe tumewapa tatu na la kwenu moja... shwain we... Sema timu zingine ila sio Real Madrid... BArca wacha afungwe atolewe hili kombe ni Back to back Mwaka huu leo tena...
 
sevila na bilbao unawakumbuka,?[emoji1] [emoji1] [emoji1]

hapo bado ATLETICO mbabe wa yokobus
 
Mtoa mada ni kiaz, anatumia mfano wa Barcelona kupigwa na PSG kudharau laliga, hatumii arsenal kuiongelea epl.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…