shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Soma thread yote nimeelezeaa maana ya ushindani uliopo englandEPL ina ushindani gani wakati hadi ka Leicester kamekua bingwa, yani eti mchovu wa kushuka daraja anakua bingwa.......ubora wenu uleteni UEFA au Europa basi tuuone