Ubuyu huu wataalam wakiri sauti zisizoeleweka si kwa wenye matatizo ya akili tu,....pia ni hai zipo

Ubuyu huu wataalam wakiri sauti zisizoeleweka si kwa wenye matatizo ya akili tu,....pia ni hai zipo

mwibamwiba

Senior Member
Joined
May 22, 2015
Posts
150
Reaction score
38
Wataalamu waeleza haya kwa uwazi ktk attachmentzangu hapo chini,ombi langu wanaojua lugha vizuri ya kiingereza wajaribu kutafsiri kwa manufaa ya wengi na jambo la kusikitisha hakuna madaktari wengi wa ugonjwa huu sijui kwanini,hasa wilayani na haujatangazwa vya kutosha mamia wanahiisi wamelogwa kumbe la ila narudia ktk kusikia sauti hizi kuna siri nzito,mkibisha sawa lakini naamini kwa karne nyingi ukweli utakuja kuwa wazi,alieandika makala haya ktk download kwa hakika atakuwa nae ni muhanga maana kaeleza kwa ufasaha hakuna hata nukta ya uongo,na kama yupo hakika kasaidi sana.
mnaojua lugha ninaomba mtafsiri
 
Back
Top Bottom