elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,110
- 1,625
Naona mbichwa unavimba ndani kwa ndani tu....hongeraaThanks my chocolate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mbichwa unavimba ndani kwa ndani tu....hongeraaThanks my chocolate
[emoji122] [emoji122] [emoji122] kwakuwa umekiri unampenda, naamini utamvumilia mapungufu yake pia.We muache...bahati yake nampenda yeye tu
Ohoo hayupo hapa jf na mbona majuzi tu tulikula pilau hajakualika jomoni!!!Ni nani
Mkuu upo?......
Una haki ya kuvimba mwaya....upendo ni baraka.Sasa ukipendwa na mrembo joanah utake nini tena kwa raha zangu niache nivimbe tu
Hujiamini au?mmmh
Hahahaaaa! Nani?Kweli Shem nadhani nawe unampenda naye anakupenda nanihuu
Hahahaaaa! Nani?Kweli Shem nadhani nawe unampenda naye anakupenda nanihuu
Yoyote tu, kwani Siye binadamu hatujakamilika 100%Mapungufu tenaaa yapi
Ooh! Haya shemAaah unamkana hadharani
HeheNdio dawa ya mwanamke jeuri! inatakiwa acheezee mikuyange ya kufa mtu mpaka awe na nidhamu [emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo mkuu, nakuona kwenye jukwaa pendwa la ubuyuMkuu upo?
Hongera kwa hiloIla dushe lipo pouwaa[emoji23] [emoji23]