ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,197
Ukitaka kujua mwanamke mjinga asiyejielewa hata kwenye maisha yake au mwanaume mpumbavu...msikilize vizuri anamtetea mange kwa asilimia ngapi...kama ni 5% ujue ndo kiwango cha ujinga wake..ukiona anamtetea mange 100% ujue kabisa ni loser,ana uwezo mdg wa kufikiria,yupo yupo na hajielewi kbs....hapa kwenye nyuzi hizi ndo najuaga uwezo wanawake wa humu na wanaume......najuaga majinga yote kwahiyo hata nkikutana nayo kwenye nyuzi nyingine najua hayana jipya