Hivi unafualitiaga mziki kweli??si ajabu hujui ht nyimbo moja ya diamond wala huyo aslay,kama unajua nyimbo moja tu kati ya aslay au mond basi una uwezo mdg sana wa kuchambua mambo sanaaaaaaaa yaani utakiwi hata kuchangia mada humu zaidi ya kusoma na kujifunza..Tena wa kujiangalia zaidi ni Mond................... maana hata Shigongo keshamualart kuhusu anguko lake. just stay turn na atakayemuangusha ni Aslay let us see
Team"" da mange kasema" wote mnaakili zakuvukia barabara tu.Akili ndogo haisumbui akili kubwa... dogo lala ukue
Ali kiba ana uwezo mdg[emoji23][emoji23]...kwenye game msumbufu ni daimond tu...ndo mana darassa na aslay wanapambanishwa na mond...na kiba ajue kbs kama watu wataendelea kumpambanisha simba na mbuzi(aslay) basi waelewe umuhimu wa kiba hautakuwepo tena na hapo ndo kutembelea nyota ya simba kutaisha...Kila mwaka wanampandisha msanii yoyote kushindana na dai ila mwisho wa siku wasanii wao wanaishia level za akina harmonize. Kwann aslay na sio ali kiba kama walivyokua wanampamba aiseee
hahaaaaMkuu umekaa kimbea mbea, wewe ni Me kweli?
Mkuuhahaaaa
Hapo saaasaHata ukiwa asilimia 0.005 wewe unanufaika nini?
naam boss ..naona yule ni mwanaume kama asemavyo ila kaushangaza kumuita mange ..da mange..hahaaMkuu
Andiko lako linamaana sana kwa mtu asiyejua maisha ya Mange kwanini anachukia watu,na siku zote yeye anachukia waliomzidi uwezo tu kumbe ndoto zake za kuishi kitajiri zimeyeyuka alijua kuishi marekani, kuolewa na mzungu ndio kutoboa kimaisha na hiyo akili mpaka sasa anayo bado ndio maana anasema hawezi kudate na mtu mweusi yaani yeye bado anaamini mzungu ndie mwenye hela na mafanikio yake yapo chini ya bwana wake tajiri atakae muoa na sio juhudi zake binafsi.Exactly,mange hana anayempenda Tanzania nzima wote anawachukia,huko marekan anaichukia familia ya mumewe,na umoja wa watanzania huko. Kila mtu anamuona mbaya kama kamsababishia anguko lake na simulizi zake za kuishi kitajiri.
Anaonesha ni mpenda ubuyu sana yule bwana, hakika nilipata utata kidogonaam boss ..naona yule ni mwanaume kama asemavyo ila kaushangaza kumuita mange ..da mange..hahaa
Bora hata sisi, wewe mpaka ushikwe mkono ...Team"" da mange kasema" wote mnaakili zakuvukia barabara tu.
Mpaka hapo inaonekana unaelewa kwa shida sana!Hahaha mkuu wacha kumpa kichwa bwana,maana alikili ni yeye kasema hivyo bwana..
Sio kosa lako, ni suala la uelewa wako kuwa hafifuAnaonesha ni mpenda ubuyu sana yule bwana, hakika nilipata utata kidogo
Sawa mkuu, siku njemaSio kosa lako, ni suala la uelewa wako kuwa hafifu
hahaaa kwli kuna wanaume wachache mnoo now deiz...wengi ni wavulanaAnaonesha ni mpenda ubuyu sana yule bwana, hakika nilipata utata kidogo