Kiboko. JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 2,891 Reaction score 1,214 Feb 13, 2018 #221 mange ni kiazi... mweupe kichwan..anasema meneja wa yamaoto n babu tale sio Mkubwa fella? kenge kweli
mange ni kiazi... mweupe kichwan..anasema meneja wa yamaoto n babu tale sio Mkubwa fella? kenge kweli
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,921 Feb 13, 2018 #222 member 2 said: Mange anatafuta kick kwa kuwachafua watu maarufu, pia naona anatafuta ticket ya kuwaangusha WSB na Cloud media kwa kuwatengenezea mgogoro Click to expand... WSB / WCB
member 2 said: Mange anatafuta kick kwa kuwachafua watu maarufu, pia naona anatafuta ticket ya kuwaangusha WSB na Cloud media kwa kuwatengenezea mgogoro Click to expand... WSB / WCB
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,921 Feb 13, 2018 #223 hearly said: hahaaa kwli kuna wanaume wachache mnoo now deiz...wengi ni wavulana Click to expand... Haha mkuu, siku njema asee.. kumekucha!
hearly said: hahaaa kwli kuna wanaume wachache mnoo now deiz...wengi ni wavulana Click to expand... Haha mkuu, siku njema asee.. kumekucha!
JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 726 Reaction score 476 Feb 13, 2018 #224 daah nitarudi baadae
Gucci gang JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,682 Reaction score 5,277 Feb 13, 2018 #225 Nichumu Nibebike said: Niliwahi kumpasha ukweli Mange akaniblock! Mange is a coward, ni mwepesi kuliko unyoya. Hana kifua cha kuhimili hoja nzito. Ni vile tu kajificha nyuma ya keyboard na kwenye nchi za watu. Click to expand... afu watu wanampenda .....cjui kwann
Nichumu Nibebike said: Niliwahi kumpasha ukweli Mange akaniblock! Mange is a coward, ni mwepesi kuliko unyoya. Hana kifua cha kuhimili hoja nzito. Ni vile tu kajificha nyuma ya keyboard na kwenye nchi za watu. Click to expand... afu watu wanampenda .....cjui kwann
Juma chief JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 2,764 Reaction score 2,366 Feb 13, 2018 #226 sawa... ngoja niende shamba kwanza maana jana kuna michungwa niliibadi.....