Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tu wakubali matokeo.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Majeruhi wa mkurugenzi ni wengi sana, ninaamini hawatasema Amina katika hili😀
atakuwa wa sumbawanga huyuKwani wewe ni wawapi mkuu?
Na kuacha pia siku wakivurugana!!Kachagua dini ambayo haitamgunga kuongeza mke, Ruge kuishi na mwanamke mmoja haiwezekani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15] na ajipange zamaradi sana tuu!!Majeruhi wa mkurugenzi ni wengi sana, ninaamini hawatasema Amina katika hili😀
Ha ha sureKachagua dini ambayo haitamgunga kuongeza mke, Ruge kuishi na mwanamke mmoja haiwezekani.
Pole soma juu utaelewammmmmh nimeachwa kwenye mataa mie
Ulimi wangu una vidonda, siwezi kumung'unya ubuyu. AsanteMkurugenzi wa Mawingu ameshaslimu, hii ni katika maandalizi ya ndoa kati yake na baby mother ambae ni mtangazaji wa kituo hicho. Chanzo cha habari hii ni waliohudhuria harusi ya Shamsa Ford jana.
bwana mkubwa aliniahidiMataa yaliyokuacha mkuu ni ya mkurugenzi au ya hii thread?
nshaelewa kbs naumia tuPole soma juu utaelewa
kwa nn uumie?!!nshaelewa kbs naumia tu
niliahidiwa mie iyo nafaskwa nn uumie?!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]bwana mkubwa aliniahidi
poleni wahanga wa ruge!!mmmmmh nimeachwa kwenye mataa mie
dooh!bwamkubwa tatizo alikua na wengi Zama sijui anampa nn yule!!maana [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]niliahidiwa mie iyo nafas
Thanx uwiiiiiii uwiiiiiii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
poleni wahanga wa ruge!!
Sasa unauliza nini na wewe hufuatiliagi?sema m sifatiliagi sana mambo ya ubuyu ubuyu